Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com
Subject: USIPIME UWEZO!!!
Replies: 0 Views: 1147
krity 27.08.10 - 11:36am
Usipime uwezo, wa kuucheza huu mchezo,huna nyenzo huna vigezo kwenye hii mitelezo,kabla hujapima nishakuzima,nakonga mitima,kwa hizi flow ka mb** zimesimama wima,hazikauki ka kisima,zako za kuazima,hazina hekima,bora unipe heshima,kabla sijapora kwa lazima,nakalisha makima,nawakemaza mazima,kichwani nna hazina,shehena ya vina,nimezama kina,kwenye hili duru,lenye msururu wa maemcee wasojua mitindo huru,mpaka nahisi nakufuru jinsi nawadhuru makunguru,nang'aa kama nuru,usipimeeeeeee... *