Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

SwahilihiphopEA
Create Your Own App Store

Star SwahilihiphopEA
Habari,mashairi na matingayote ya hip hop ya kiswahili

Group Founder: krity
Description: Hii ni maalum kwa watu wngu wa afrika mashariki na wote wanaozungumza kiswahili kujumuika humu pamoja kujadili ishu mbalimbali za muziki wa hiphop wa kiswahili,pamoja watu wngu!
Group Type: Public join
Members: 6
Category: Music > Rap & HipHop

Topics (4)

go USIPIME UWEZO!!! (0) krity
Usipime uwezo, wa kuucheza huu mchezo,huna nyenzo huna vigezo kwenye hii mitelezo,kabla hujapima nishakuzima,nakonga mitima,kwa hizi flow ka mb** zimesimama wima,hazikauki ka kisima,zako za kuazima,ha...

go Tunapanda! (0) shafftan
Tupo juu watu wa afrika mashariki kwa hiphop,tanzania wakina prof.j,fid q,roma,na..da wapo kibao sana siwezi wataja wote,vipi huko kenya,uganda,burundi na rwanda?

go Karibu kwenye michano! (1) krity
Karibu kwenye michano,ni kijani twende si nyekundu wala njano,onyesha mshikamano,ka santuri na sindano,hiphop halisi wala si mfano,hizi si hadithi wala si tungamo,watunzi wachovu nawapa kibano,huwezi ...

go (reading) Mkusanyiko wa mashai (1) preddie
ushairi ni muhimu sana hasa tukizingatia matumizi ya mashairi, umuhimu ambayo tunaweza tu kuukumbatia tukizikusanya

Polls (1)

go Kati ya Nonini na Juacali nani mkali wa genge?

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store