Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com
Subject: (reading) Mkusanyiko wa mashai
Replies: 1 Views: 1056
preddie 19.08.10 - 09:10am
ushairi ni muhimu sana hasa tukizingatia matumizi ya mashairi, umuhimu ambayo tunaweza tu kuukumbatia tukizikusanya *
krity 19.08.10 - 11:37am
Ushairi kwenye lugha ya kiswahili ni rahisi kumwezesha mtu kuandika mashairi yenye mtiririko mzuri na vina vya kutosha,wanahiphop wa afrika mashariki tupende kuandika mashairi kwa kiswahili! *